Idadi ya Watu(Sensa ya Watu na Makazi 2012) = 93827
Kata = 12
Idadi ya watu na makazi kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi 2022- Halmashauri ya Mji Makambako. = 146,481 Wanaume 67,876 wanawake 78,605 makazi 40,942
Vijiji = 14
Vitongoji = 67
Mitaa = 54
Shule za Sekondari = 18
Shule za Msingi = 50
Vituo vya Afya vya Serikali = 2
Hospitali ya Mji (Serikali) = 1
Vituo vya Afya vya Binafsi/Mashirika yasiyo ya Serikali = 1
Hospitali Binafsi/mashirika yasiyo ya Serikali = 2