• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
HALMASHAURI YA MJI WA MAKAMBAKO
HALMASHAURI YA MJI WA MAKAMBAKO

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MJI WA MAKAMBAKO

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Ardhi na maliasili
      • Raslimali watu na Utawala
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Usafi na mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Ujenzi na Uokoaji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Elimu ya Sekondari
      • Kilimo, Ushirika na umwagiliaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji
    • Vitengo
      • Sheria
      • ICT and Public relations
      • Ugavi na Manunuzi
      • Mkaguzi wa ndani
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma ya Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Ratiba ya kumwona Mwenyekiti wa Halmashauri
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyo kwenye Mpango
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Ripoti mbalimbali
    • Mikataba
    • Mpango Mkakati
    • Hatua
    • Fomu za maombi
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari Mpya
    • Matukio
    • jarida la mji

Taratibu za Kumhamisha Mwanafunzi

Ili kumuhamisha mwanafunzi wa shule ya Msingi kutoka shule moja kwenda nyingine hatua zifuatazo zinapaswa kufuatwa na mzazi/mlezi:-

1. Mzazi/Mlezi ahakikishe ameshapata nafasi ya mwanafunzi huko anakotaka kumhamishia.

2. Mzazi/Mlezi atatakiwa kufika shule anayosoma mwanafunzi na kujaza fomu za uhamisho pamoja na kuchukua kadi ya maendeleo ya mwanafunzi ambayo pia sharti ijazwe na isainiwe.


3. Mzazi/Mlezi atawasilisha shuleni picha sita za pasipoti.


4. Fomu na kadi ya maendeleo ya Mwanafunzi zitasainiwa na mwalimu wa darasa, mwalimu Mkuu Msaidizi na mwalimu Mkuu. Baada ya fomu za uhamisho na kadi ya maendeleo ya mwanafunzi kusainiwa katika ngazi ya shule zitapelekwa kwa mratibu elimu Kata kusainiwa.


5. Baada ya fomu za uhamisho kusainiwa katika ngazi ya Kata itapelekwa na mzazi/mlezi katika ofisi ya afisa elimu wa Halmashauri kwa ajili ya kupitishwa na kusainiwa.


6. Fomu za uhamisho zilizosainiwa na afisa elimu zitapelekwa katika ngazi ya mkoa kupitishwa na kusainiwa an afisa elimu Mkoa. Baada ya kupitishwa na kusainiwa na afisa elimu mkoa fomu hizo zitapelekwa mkoa mwanafunzi anapohamia na kufuata utaratibu tajwa hapo juu isipokuwa kwa upande wa Mkoa mwanafunzi anapohamia taratibu zitaanzia ofisi ya afisa elimu aMkoa kushuka chini.


MUHIMU: Ikiwa mwanafunzi anahama kutoka shule moja kwenda nyingine ndani ya Wilaya, taratibu za uhamisho zitaishia ofisi ya afisa elimu wa Wilaya.


Matangazo

  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA JANUARI-2021 December 19, 2020
  • FOMU ZA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021 December 15, 2020
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA MWAKA 2018 July 13, 2018
  • Nafasi za Kazi Halmashauri ya Mji wa Makambako May 18, 2019
  • Fungua

Habari Mpya

  • UKAGUZI WA vikundi

    December 30, 2020
  • Ukaguzi wa kikundi

    December 30, 2020
  • ukaguzi wa vikundi

    December 30, 2020
  • Ukaguzi wa vikundi

    December 30, 2020
  • Fungua

Video

Maelekezo kuelekea Uchaguzi Mkuu octoba Mwaka huu.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Fursa za Usafirishaji
  • Orodha ya Madiwani
  • Uzalishaji wa Umeme wa Upepo
  • Organisation Structure
  • Fursa za Biashara
  • By Laws
  • Permanent Committee

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Ikulu ya Rais
  • Tovuti ya Ofisi ya Utumishi
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Open Data Tanzania

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Makambako Town Council

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako

    Simu ya mezani: 026-2730044

    Simu ya Kiganjani: 0767633415

    Barua pepe: td@makambakotc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa