• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
HALMASHAURI YA MJI WA MAKAMBAKO
HALMASHAURI YA MJI WA MAKAMBAKO

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MJI WA MAKAMBAKO

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Ardhi na maliasili
      • Raslimali watu na Utawala
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Usafi na mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Ujenzi na Uokoaji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Elimu ya Sekondari
      • Kilimo, Ushirika na umwagiliaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji
    • Vitengo
      • Sheria
      • ICT and Public relations
      • Ugavi na Manunuzi
      • Mkaguzi wa ndani
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma ya Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Ratiba ya kumwona Mwenyekiti wa Halmashauri
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyo kwenye Mpango
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Ripoti mbalimbali
    • Mikataba
    • Mpango Mkakati
    • Hatua
    • Fomu za maombi
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari Mpya
    • Matukio
    • jarida la mji

Ukaguzi wa vikundi

Tarehe iliyowekwa: December 30th, 2020

Katika picha ni zoezi la ukaguzi wa vikundi mbalimbali uliofanywa na idara ya maendeleo ya jamii ya Halmashauri ya Mji wa Makambako kwa kushirikiana na maendeleo ya jamii TAMISEMI ambapo kikundi cha Muungano kilichopo maeneo ya kitisi Makambako ni mmoja ya kikundi nufaika na Mkopo wa serikali kupitia Halmashauri  kikiwa chini ya wanawake kimenufaika na Mkopo kutoka serikalini kupitia Halmashauri ambapo takribani fedha za kitanzania takribani (Millioni kumi ) zilitolewa mwezi wa kumi  kwa kikundi hicho .Mnamo tarehe 30 Decemba kikundi hicho kilitembelewa na wakaguzi kutoka TAMISEMI huku mkuu wa msafara huo akiwa ni Hilda Mgomapayo wakati lengo kubwa likiwa ni kujua ni kwa namna gani fedha hizo zinatumika  na kuwapa manufaa walengwa na ni kwa jinsi gani zinarejeshwa kwa wakati kama ilivyopangwa .wakiongea mbele ya Afisa maendeleo ya jamii TAMISEMI wamekiri kuwa mkopo huo umewanufaisha kwa kasi kubwa hasa katika mradi wao wa kusindika Mvinyo wa matunda Matatu (nyanya ,limau na Chungwa ) na kuwa tayari soko la mvinyo huo limeenda mbali zaidi takribani Mikoa mingi Nchini na soko lake ni la uhakika. kwa upande mwingine hawakusita kuishukuru serikali ya awamu ya tano kwa kazi nzuri hasa kuhimiza vijana ,Wanawake,na walemavu  kujikita katika ujasiriamali na uzalishaji kupitia mikopo mbalimbali inayotolewa na serikali ,

Matangazo

  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA JANUARI-2021 December 19, 2020
  • FOMU ZA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021 December 15, 2020
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA MWAKA 2018 July 13, 2018
  • Nafasi za Kazi Halmashauri ya Mji wa Makambako May 18, 2019
  • Fungua

Habari Mpya

  • UKAGUZI WA vikundi

    December 30, 2020
  • Ukaguzi wa kikundi

    December 30, 2020
  • ukaguzi wa vikundi

    December 30, 2020
  • Ukaguzi wa vikundi

    December 30, 2020
  • Fungua

Video

Maelekezo kuelekea Uchaguzi Mkuu octoba Mwaka huu.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Fursa za Usafirishaji
  • Orodha ya Madiwani
  • Uzalishaji wa Umeme wa Upepo
  • Organisation Structure
  • Fursa za Biashara
  • By Laws
  • Permanent Committee

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Ikulu ya Rais
  • Tovuti ya Ofisi ya Utumishi
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Open Data Tanzania

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Makambako Town Council

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako

    Simu ya mezani: 026-2730044

    Simu ya Kiganjani: 0767633415

    Barua pepe: td@makambakotc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa