Katika picha ni Halmashauri ya mji Makambako ,kikao kujadili Maelekezo ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 kwa Vyama vya Siasa na Wagombea ,hususani katika suala zima la Uteuzi wa Wabunge ,Madiwani ,Kampeni wakati wa Uchaguzi wa Rais ,wabunge ,Madiwani na Upigaji kura pamoja na kutangaza matokeo ya uchaguzi katika Halmashauri ya mji Makambako .
Makambako Town Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako
Simu ya mezani: 026-2730044
Simu ya Kiganjani: 0785635383
Barua pepe: td@makambakotc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa