Mnamo mwaka uliopita 2019 mheshimiwa Raisi wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli alizitaka taasisi zote za umma kuhamia katika majengo ya umma ili kuepusha gharama ya zinatolewa kama kodi kwa majengo binafsi hivyo basi Halmashauri ya mji Makambako haikuwa nyuma na agizo hilo la Mheshimiwa Rais kwakuwa tayari ujenzi wa jengo ulkuwa umeshaanza basi haikiuwa vigumu kuendelea na ujenzi,wa jengo katika mwonekano wenye weledi zaidi .Aidha kwa mujibu wa mhandisi Maganga anayesimamia ujenzi wa jengo hilo amekili kwamba mwezi septemba litakuwa limekamilika kwa asilimia mia moja na kuendelrea kutoa huduma kwa wananchi wote .
Makambako Town Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako
Simu ya mezani: 026-2730044
Simu ya Kiganjani: 0785635383
Barua pepe: td@makambakotc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa