• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
HALMASHAURI YA MJI WA MAKAMBAKO
HALMASHAURI YA MJI WA MAKAMBAKO

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MJI WA MAKAMBAKO

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Ardhi na maliasili
      • Raslimali watu na Utawala
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Usafi na mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Ujenzi na Uokoaji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Elimu ya Sekondari
      • Kilimo, Ushirika na umwagiliaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji
    • Vitengo
      • Sheria
      • ICT and Public relations
      • Ugavi na Manunuzi
      • Mkaguzi wa ndani
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma ya Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Ratiba ya kumwona Mwenyekiti wa Halmashauri
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyo kwenye Mpango
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Ripoti mbalimbali
    • Mikataba
    • Mpango Mkakati
    • Hatua
    • Fomu za maombi
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari Mpya
    • Matukio
    • jarida la mji

BARAZA LA MADIWANI LA HALMASHAURI YA MJI MAKAMBAKO LAPITISHA BAJETI YA BILIONI 35.7 KWA MWAKA WA FEDHA 2026/2027

Tarehe iliyowekwa: February 6th, 2026

Na. Tanessa   Lyimo

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Makambako ,Mhe.Salum  Mlumbe ameongoza kikao cha Baraza la Madiwani katika kupitia na Kujadili bajeti ya bilioni 35.7  kwa Mwaka wa fedha 2026/2027 kikao kilichofanyika Leo,katika Ukumbi wa Ofisi ya Kata ya Lyamkena, Halmashauri ya Mji Makambako.

Mhe.Mlumbe amewapongeza wataalam na watendaji kwa kuchakata rasimu ya mpango na Bajeti ambayo imeweza kupitiwa na ngazi mbalimbali za uongozi, na kuidhinishwa na  baraza la madiwani ili ikasaidie na kunufaisha jamii katika utekelezaji wenye dhamira ya kuleta maendeleo.


Pia amewapongeza wataalam kwa kuzingatia vipaumbele ikiwemo ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ya mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na Halmashauri kupitia  mapato ya ndani kwa vikundi vya wanawake,vijana  na watu wenye ulemavu 


Ametoa wito kwa wananchi  kuendelea kulipa ushuru na kodi mbalimbali za Serikali ili kuisaidia Halmashauri kuongeza mapato,na kuiwezesha kutekeleza  miradi itakayoweza kusaidia jamii  katika nyanja mbalimbali.


Naye Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Makambako Ndg.Kenneth Haule ameahidi kuyafanyia kazi yote ambayo yamejadiliwa kwa maslahi ya halmashauri, kwa lengo la kutimiza azma na kusudi la rasimu ya mpango na bajeti kwa kutoa mrejesho kwa wananchi kupitia waheshimiwa madiwani.

Kuidhinishwa kwa Rasimu ya mpango na Bajeti kwa mwaka wa Fedha 2026/2027 itawezesha Halmashauri kutekeleza majukumu ya kila siku ikiwa ni pamoja na kulipa mishahara watumishi, kutekeleza shughuli mbalimbali za kiutawala na kiutendaji pamoja na kutekeleza miradi ya maendeleo.


Matangazo

  • Ujio wa Madaktari bingwa Hospitali ya Mji Makambako (Mlowa) September 17, 2025
  • Mapokezi ya ajira mpya januari 2026 January 25, 2026
  • Tangazo la kazi 2024 March 11, 2024
  • Mkutano wa uhamasishaji zoezi la urasimishaji Kata ya Kitisi na Majengo juni 27 - 29,2024 May 28, 2024
  • Fungua

Habari Mpya

  • BARAZA LA MADIWANI LA HALMASHAURI YA MJI MAKAMBAKO LAPITISHA BAJETI YA BILIONI 35.7 KWA MWAKA WA FEDHA 2026/2027

    February 06, 2026
  • Hundi yenye thamani ya Mil.216.7 yakabidhiwa kwa vikundi 19 vya wanawake , Vijana na watu wenye Ulemavu

    February 03, 2026
  • Baraza la Madiwani lamshukuru Rais Samia kwa fedha za miradi na Mbunge kwa kutekeleza shughuli za maendeleo

    January 30, 2026
  • Wananchi wa Makambako watakiwa kutunza mazingira kwa kupanda miti kupunguza athari za upepo mkali

    January 30, 2026
  • Fungua

Video

Shule mpya ya Mbugani Kitandililo sekondari kupitia mradi wa SEQUIP
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Fursa za Usafirishaji
  • Orodha ya Madiwani
  • Uzalishaji wa Umeme wa Upepo
  • Organisation Structure
  • Fursa za Biashara
  • By Laws
  • Permanent Committee

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Ikulu ya Rais
  • Tovuti ya Ofisi ya Utumishi
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Open Data Tanzania

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Makambako Town Council

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako

    Simu ya mezani: 026-2730044

    Simu ya Kiganjani: 0785635383

    Barua pepe: td@makambakotc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa