Halmashauri ya Mji Makambako inapenda kuwaalika watu Binafsi, Makampuni, Ushirika, Taasisi au Vikundi vya watu vilivyosajiliwa kisheria, wenye nia na uwezo wa kufanya kazi ya ukusanyaji wa mapato ya Halmashauri ya Mji wa Makambako, watume maombi yao kwa zabuni zilizomo kwenye kiambatanishi=====>..TANGAZO LA ZABUNI YA UKUSANYAJI MAPATO 2018-19.pdf
Makambako Town Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako
Simu ya mezani: 026-2730044
Simu ya Kiganjani: 0785635383
Barua pepe: td@makambakotc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa