Monday 22nd, December 2025
@Ukumbi wa makambako sekondari
Makarani waongozaji wapiga kura katika jimbo la Makambako, leo wamepewa mafunzo na kula kiapo cha utii kuelekea siku ya uchaguzi Mkuu Oktoba 29,2025.

Msimamizi wa Uchaguzi katika jimbo la Makambako,Ndg. Eliudi Mwakibombaki ametoa rai kwa wananchi wa jimbo hilo kujitokeza kupig kura kuanzia saa moja kamili asubuhi hadi saa kumi kamili jioni na kuwakumbusha kutovaa mavazi ya chama chochote cha siasa.

Kauli mbiu ya uchaguzi mkuu mwaka 2025 inasema"kura yako haki yako,jitokeze kupiga kura".
Makambako Town Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako
Simu ya mezani: 026-2730044
Simu ya Kiganjani: 0785635383
Barua pepe: td@makambakotc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa