• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
HALMASHAURI YA MJI WA MAKAMBAKO
HALMASHAURI YA MJI WA MAKAMBAKO

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MJI WA MAKAMBAKO

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Ardhi na maliasili
      • Raslimali watu na Utawala
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Usafi na mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Ujenzi na Uokoaji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Elimu ya Sekondari
      • Kilimo, Ushirika na umwagiliaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji
    • Vitengo
      • Sheria
      • ICT and Public relations
      • Ugavi na Manunuzi
      • Mkaguzi wa ndani
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma ya Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Ratiba ya kumwona Mwenyekiti wa Halmashauri
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyo kwenye Mpango
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Ripoti mbalimbali
    • Mikataba
    • Mpango Mkakati
    • Hatua
    • Fomu za maombi
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari Mpya
    • Matukio
    • jarida la mji

"Sijaja kuibadilisha torati bali kuiboresha kwa kushirikiana nanyi "– Dkt. Nindi

Tarehe iliyowekwa: February 12th, 2026

Na. Lina Sanga

Katibu Tawala Mkoa wa Njombe, Dkt. Stephen Nindi amewaahidi watumishi  na wananchi wa Mkoa wa Njombe kushirikiana nao katika ujenzi wa Njombe bora, kupitia uzoefu,nguvu,maarifa na ubunifu alioupata katika utumishi wake kwenye sekta mbalimbali alizowahi kuzitumikia kabla ya uteuzi wa kuwa Katibu Tawala Mkoa wa Njombe.

Dkt. Nindi amezungumza hayo leo wakati wa hafla ya mapokezi yake yaliyofanyika katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Njombe, na kuwashukuru watumishi kwa mapokezi mazuri na kuwa ahidi kushirikiana katika mambo mbalimbali ili kuwatumikia wananchi wa Mkoa wa Njombe na Taifa kwa ujumla.

Awali,Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Mhe. Anthony Mtaka alimhakikishia Dkt. Nindi utayari na umakini wa watumishi wa Mkoa wa Njombe katika utekelezaji wa shughuli mbalimbali za maendeleo na kiutawala, na kuwataka watumishi wote kuwa tayari kufanya mabadiliko na maamuzi sahihi kwa maslahi ya wananchi.

Naye, Mkuu wa Wilaya ya Njombe, Mhe. Juma Sweda amemkaribisha Dkt. Nindi na kumhakikishia ushirikiano wenye tija unaotekeleza maono ya Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania  pamoja na kutatua changamoto za wananchi.

Mapokezi ya Dkt. Nindi yamehusisha watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa na timu za menejimenti za Halmashauri zote ndani Mkoa wa Njombe

Matangazo

  • Ujio wa Madaktari bingwa Hospitali ya Mji Makambako (Mlowa) September 17, 2025
  • Mapokezi ya ajira mpya januari 2026 January 25, 2026
  • Tangazo la kazi 2024 March 11, 2024
  • Mkutano wa uhamasishaji zoezi la urasimishaji Kata ya Kitisi na Majengo juni 27 - 29,2024 May 28, 2024
  • Fungua

Habari Mpya

  • "Sijaja kuibadilisha torati bali kuiboresha kwa kushirikiana nanyi "– Dkt. Nindi

    February 12, 2026
  • BARAZA LA MADIWANI LA HALMASHAURI YA MJI MAKAMBAKO LAPITISHA BAJETI YA BILIONI 35.7 KWA MWAKA WA FEDHA 2026/2027

    February 06, 2026
  • Hundi yenye thamani ya Mil.216.7 yakabidhiwa kwa vikundi 19 vya wanawake , Vijana na watu wenye Ulemavu

    February 03, 2026
  • Baraza la Madiwani lamshukuru Rais Samia kwa fedha za miradi na Mbunge kwa kutekeleza shughuli za maendeleo

    January 30, 2026
  • Fungua

Video

Shule mpya ya Mbugani Kitandililo sekondari kupitia mradi wa SEQUIP
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Fursa za Usafirishaji
  • Orodha ya Madiwani
  • Uzalishaji wa Umeme wa Upepo
  • Organisation Structure
  • Fursa za Biashara
  • By Laws
  • Permanent Committee

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Ikulu ya Rais
  • Tovuti ya Ofisi ya Utumishi
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Open Data Tanzania

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Makambako Town Council

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako

    Simu ya mezani: 026-2730044

    Simu ya Kiganjani: 0785635383

    Barua pepe: td@makambakotc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa