Mbunge wa jimbo la Makambako Deo Sanga Pichani akitoa neno kwa hadhara wakati wa kuapishwa kwa Madiwani Halmashauri ya Mji wa Makambako ambapo amewashauri Madiwani kuacha tabia ya kupuuza kero za Wananchi walio wachagua kwa kura nyingi na kishindo kikubwa sasa ili kuepusha suala la kuwa na mrundundikano wa kero nyingi hususani pale inapotokea viongozi wa juu Seriaklini wanapofanya ziara kuona Mabango mengi ya kero hivyo ni vema kuzifanyia kazi mapema bila kusubiri Wananchi wanyonye Mabango yenye kero ambazo zinaweza kutatulika kirahisi , Ni lazmi Madiwani mjitoe amesema mbunge huyo".
Makambako Town Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako
Simu ya mezani: 026-2730044
Simu ya Kiganjani: 0785635383
Barua pepe: td@makambakotc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa