Katika picha ni kwa namna gani shirika la JPHEGO kwa kushirikiana na wataalamu wa afya wilaya ya Njombe linatoa huduma mbalimbali katika jamii ,mbali na kutoa Chanjo ya Saratani ya Mlango wa kizazi lakini pia huduma ya Macho na kupima hali za lishe kwa walengwa huduma ya chanjo ya Saratani ya Mlango wa kizazi hasa Mabinti wenye miaka kumi na nne (14).
Makambako Town Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako
Simu ya mezani: 026-2730044
Simu ya Kiganjani: 0785635383
Barua pepe: td@makambakotc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa