Kupitia Kikao cha Kamati ya Lishe kilichofanyika tarehe 24/03/2020, Halmashauri ya Mji wa Makambako inatekeleza afua mbali mbali za lishe kwa kuzingatia viashiria vilivyomo katika mkataba wa lishe, lengo ni kuhakikisha huduma bora za Lishe zinatolewa kwa walengwa/jamii ili kuondokana na matatizo ya utapiamlo hususani udumavu .
Makambako Town Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako
Simu ya mezani: 026-2730044
Simu ya Kiganjani: 0785635383
Barua pepe: td@makambakotc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa