Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Makambako Paulo Malala pamoja Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Makambako Ndg,Hanana Mfikwa wakikabidhiana kombe katika kikao cha baraza la Madiwani Halmashauri ya Mji wa Makambako , Kombe hilo Limetolewa na bodi ya wasibu na wakaguzi wa hesabu Tanzania (NBA) Katika ufungaji bora wa hesabu za serikali katika mamlaka za serikali za Mtaa ,Halmashauri ya Mji wa Makambako katika zoezi hilo la ufungaji wa hesabu ambapo kwa mwaka 2019 ilishika nafasi ya kwanza na kwa mwaka 2020 ikishika nafasi ya pili kitaifa jambo ambalo limepelekea Halmashauri ya Mji wa Makambako kupata kombe kama zawadi ya Ufungaji wa hesabu hizo kwa weledi.
Makambako Town Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako
Simu ya mezani: 026-2730044
Simu ya Kiganjani: 0785635383
Barua pepe: td@makambakotc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa