Mwezeshaji wa wanufaika wa mfuko wa TASAF Masinde Masinde akitoa maelekezo kwa walengwa wa kata ya Kitisi juu ya utaratibu wa kufuata ili waweze kupata huduma bila usumbufu: Mfano kwa wale ambao walihakikiwa majina yao na kupigwa Picha siku ya uhakiki wanastahili kupata fedha zao ,na kwa wale ambao walihakikiwa na majina yao hayajatoka wanatakiwa kusubiri utaratibu wa kutakua tatizo hili lakini kwa wale ambao hawakufika siku ya uhakiki pia lazma wafuate utaratibu pangwa lengo kuu ni kuepusha usumbufu wakati wa kutoa hudua kwa walengwa hao. Masinde aitoa maelekezo hayo mapema kabla ya kuanza kutoa huduma ili kuwasidia walengwa kujua wapo upande gani .
Makambako Town Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako
Simu ya mezani: 026-2730044
Simu ya Kiganjani: 0785635383
Barua pepe: td@makambakotc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa