Watumishi wa Halmashauri ya Mji wa Makambako Pichani wakiwa tayari kupata mafunzo ya kujua Madai na Madeni ya watumishi kwa njia ya Mtandao ,Mafunzo ambayo yametolewa Ofisi ya Rais ( OR -TAMISEMI ) Kupitia wawakilishi wao Peter Sana pamoja na Elgiva Florence .
Makambako Town Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako
Simu ya mezani: 026-2730044
Simu ya Kiganjani: 0785635383
Barua pepe: td@makambakotc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa