Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Makambako Paul Malala katika picha wakati wa kuwakaribisha wawazeshaji kutoka Ofisi ya Rais ( OR_ TAMISEMI) , Rasmi ujio wao ni kutoa Mafunzo ya kujua Madai na Madeni ya Watumishi wa Umma kwa njia ya mtandao Mafunzo ambayo yatasaidia kurahisisha kazi kwa watumishi na kuokoa muda wa kutatua matatizo yahusuyo Madai na Madeni .
Makambako Town Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako
Simu ya mezani: 026-2730044
Simu ya Kiganjani: 0785635383
Barua pepe: td@makambakotc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa