Ni katika mafunzo kwa watumishi wa Halmashauri ya Mji wa Makambako juu ya matumizi ya mtandao kwa nia ya kujua na kufahamu na kutambua Madai na Madeni ya watumishi hususani Walimu .Pichani ni Elgiva florence kutoka ofisi ya Rais (OR -TAMISEMI ) akitoa ufafanuzi na utangulizi wa Mafunzo ya kujua Madeni na Madai ya watumishi kwa njia ya mtandao ,Mafunzo ambayo yamefanyika katika shule ya sekondari Makambako huku watumishi wa idara mbalimbali Halmashauri ya Mji wa Makambako wakihudhuria mafunzo hayo.
Makambako Town Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako
Simu ya mezani: 026-2730044
Simu ya Kiganjani: 0785635383
Barua pepe: td@makambakotc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa