Pichani ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Makambako Paulo Malala Pamoja na Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Makambako Salumu Mlumbe ,Ambapo Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Makambako amesoma Muhtasari wa Rasimu ya Mpango wa Bajeti kwa Mwaka wa fedha 2021/2022 na mapitio ya Mwaka 2019/2020 na nusu 2020/2021 katika kikao kilichohudhuriwa na Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Mji wa Makambako pamoja na wadau mbalimbali wa taasisi ambao ni za kiserikali na zisizo za kiserikali kwa lengo la kujua na kuchanganua kwa undani Mpango wa Bajeti hiyo ,Zoezi ambalo limeambatana na uzinduzi wa Gari la kubeba taka lenye ukubwa wa tani 16 lililonunuliwa kwa gharama ya shillingi Million Mia moja Sabini na Mbili kupitia Mapato ya ndani ya Halmashauri ya Mji wa Makambako.
Makambako Town Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako
Simu ya mezani: 026-2730044
Simu ya Kiganjani: 0785635383
Barua pepe: td@makambakotc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa