Mwonekano wa Darasa lililojengwa na Serikali katika shule ya Sekondari Mtimbwe Halmashauri ya Mji wa Makambako ambapo wakati wa ukaguzi wa miradi mbalimbali uliofanywa na kamati ya Siasa Wilaya katika Halmashauri ya Mji wa Makambako ambapo Mkuu wa Msafara huo Mwenyekiti wa Siasa wilaya Bwana edward mgaya na Kamati ya siasa ya Wilaya wamependekeza kwamba mbali na kuwa mwonekano wake wa dari umewekwa kwa ufanisi mkubwa ni vema Darasa hilo likawekwa pia tires (Malumalu) ili jengo hilo litumike kwa muda mrefu na kuepuka gharama za ukarabati wa mara kwa mara .
Makambako Town Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako
Simu ya mezani: 026-2730044
Simu ya Kiganjani: 0785635383
Barua pepe: td@makambakotc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa