Mganga kuu Halmashauri ya Mji Makambako DK alexandra Mchome akiwatia moyo wanafunzi kidato cha tano na sita walipotembela Hospiatli ya Halmashauri ya Mji wa Makambko yenye hadhi ya kiwiyala ilipo Mlowa ,Yakuwa wanatakiwa kuwa na ndoto ya kufika mbali kitaaluma kwakuwa tayari serikali imeandaa miundo mbinu Bora ya wao kufanya kazi.Mfano Ujenzi wa Hospitala ambazo zinahitaji wataalamu ambao ni Wanafunzi wa sasa.
Makambako Town Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako
Simu ya mezani: 026-2730044
Simu ya Kiganjani: 0785635383
Barua pepe: td@makambakotc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa