Na. Lina Sanga
Mkoa wa Njombe leo umekabidhi Mwenge wa Uhuru Mkoa wa Iringa,baada ya kukimbiza katika Halmashauri sita za Mkoa wa Njombe tangu aprili 25 hadi aprili 30,2023.
Mkoa wa Njombe mnamo aprili 25,2023 ulipokea Mwenge kutoka Mkoa wa Ruvuma katika Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa na Leo Mkuu wa Mkoa wa Njombe,Mhe. Anthony Mtaka amekabidhi Mwenge wa Uhuru Mkoa wa Iringa baada ya kukimbizwa aprili 30 katika Halmashauri ya Mji Makambako.
Kauli mbiu ya mbio za Mwenge wa Uhuru kwa Mwaka huu inasema "Tunza mazingira,okoa vyanzo vya maji,kwa ustawi wa viumbe hai na uchumi wa Taifa.
Makambako Town Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako
Simu ya mezani: 026-2730044
Simu ya Kiganjani: 0785635383
Barua pepe: td@makambakotc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa