Wanafunzi nao hawakusita kuonesha nini wameandaa katika masuala mazima ya Utamaduni kwa lengo la kuiishi kauli mbiu ya Tamasha la Sanaa kwa Shule za Msingi Halmashauri ya Mji wa Makambako .Mimi ni Kijana Jasiri Najitambua ni Kauli mbiu ilibeba Tamasha hilo la Sanaa .Katika Picha ni Wanafunzi wa Shule ya Msingi Juhudi Halmashauri ya mji wa Makambko wakijiandaa kutumbuiza wimbo wenye asili ya lugha ya kibena iitwayo "Luheyo "Huku wakiwa wamevalia mavazi la asili zaidi kwani waswahili husema "Jasiri Haachi Asili ".
Makambako Town Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako
Simu ya mezani: 026-2730044
Simu ya Kiganjani: 0785635383
Barua pepe: td@makambakotc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa