Mhandisi wa Halmashauri ya mji wa Makambako Ndg Maganga akimwelekeza Mkuu wa wilaya ya Njombe Bi Ruth Msafiri wakati wa kukagua Maendeleo mbalimbali ya Miradi ya Halmashauri ,ambapo katika ukaguzi wa Hospitali ya Halmashauri Ya Mji wa Makambako iliyopo Mlowa Bi Ruth aliweza kuona ni kwa jinsi gani Mafundi wanahakikisha wanajenga kwa kasi kubwa ili tu kuhakikisha miundo mbinu ambayo bado haijakamilika iweze kukamilika kwa wakati, mfano Sehemu Maalumu ya kuchoma taka ,sehemu maalumu ya kuweka Sim tanks(Pipa) kwaajili ya kuhifadhi maji kwa matumizi mbalimbali katika hospitali hiyo Lengo ikiwa ni kuwahudumia watanzania katika Mazingira Bora .
Makambako Town Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako
Simu ya mezani: 026-2730044
Simu ya Kiganjani: 0785635383
Barua pepe: td@makambakotc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa