Katika picha ni wadau mbalimbali waliohudhuria katika zoezi zima la kikao cha kujadili Rasimu ya Mpango wa Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2021/2022 na Mapitio ya Mwaka 2019/2020 na nusu 2020/2021 , Pamoja na zoezi zima la uzinduaji wa gari la kubeba taka katika Halmashauri ya Mji wa Makambako gari ambalo limenunuliwa kwa kutumia mapato ya ndani ya Halmashauri . Waliohudhuria katia zoezi hilo ni pamoja na kamati ya ulinzi na usalama wilaya ya Njombe ,Baraza la Madiwani Wa Halmashauri ya Mji wa Makambako , Taasisi mbalimbali za kiserikali na zisizo za kiserikali huku Mkuu wa Wilaya ya Njombe Bi Ruth Msafiri akiwa kama mgeni Rasmi wa zoezi hilo.
Makambako Town Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako
Simu ya mezani: 026-2730044
Simu ya Kiganjani: 0785635383
Barua pepe: td@makambakotc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa