Wanafunzi wa kike na hawakuwa nyuma kusikiliza maelekezo ya Mwalimu wao wa michezo hususani masuala ya mpira wa mikono yaani ( Netball) siku ya ufunguaji rasmi wa Umoja wa Michezo na Taaluma kwa Shule za Msingi Tanzania (UMITASHUMTA) 2021, Kwa Halmashauri ya Mji wa Makambako lengo likiwa ni kuleta: Umoja ,Mshikamano ,Upendo Ushirikiano na kwenda mbali zaidi hasa katika sula zima la kuibua vipaji vya wanamichezo wa baadae nchini Tanzania na hata nje ya Nchi Kwani michezo pia ni Ajira kwa Ulimwengu wa sasa.
Makambako Town Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako
Simu ya mezani: 026-2730044
Simu ya Kiganjani: 0785635383
Barua pepe: td@makambakotc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa