Wanafunzi wa kiume kutoka shule zinazounda kata ya Mjimwema na Kivavi Halmashauri ya Mji wa Makambako wakiwa na Mwalimu wa Michezo kutoka shule ya Msingi Bwawani mbele yao akitoa maelekezo muhimu ya Mchezo wa mpira wa Miguu wakati wa Ufunguaji wa Umoja wa Michezo na Taaluma kwa shule za msingi Tanzania UMITASHUMTA 2021 kwa Shule za Halmashauri ya Mji wa Makambako .
Makambako Town Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako
Simu ya mezani: 026-2730044
Simu ya Kiganjani: 0785635383
Barua pepe: td@makambakotc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa