• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
HALMASHAURI YA MJI WA MAKAMBAKO
HALMASHAURI YA MJI WA MAKAMBAKO

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MJI WA MAKAMBAKO

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Ardhi na maliasili
      • Raslimali watu na Utawala
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Usafi na mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Ujenzi na Uokoaji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Elimu ya Sekondari
      • Kilimo, Ushirika na umwagiliaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji
    • Vitengo
      • Sheria
      • ICT and Public relations
      • Ugavi na Manunuzi
      • Mkaguzi wa ndani
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma ya Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Ratiba ya kumwona Mwenyekiti wa Halmashauri
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyo kwenye Mpango
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Ripoti mbalimbali
    • Mikataba
    • Mpango Mkakati
    • Hatua
    • Fomu za maombi
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari Mpya
    • Matukio
    • jarida la mji

Viwanja 1,191 Mtaa wa Sekondari,Kata ya Maguvani vimerasimishwa kupitia mradi wa MKURABITA

Tarehe iliyowekwa: August 17th, 2022

Na. Lina Sanga

Serikali kupitia  Mpango wa Kurasimisha  Rasilimali na Biashara za wanyonge Tanzania (MKURABITA), inaweka miundombinu kwa kuhakikisha kiwanja,shamba na biashara za wananchi zinarasimishwa ili kuwasaidia wananchi kutambuliwa na taasisi za fedha kwa kupata mikopo kwa ajili ya kutimiza malengo yao kiuchumi.

Kauli hiyo imetolewa na Mratibu wa MKURABITA taifa,Dr. Seraphia Mghembe katika mkutano wa uzinduzi wa utoaji hatimiliki kwa wananchi wa Mtaa wa Sekondari, uliofanyika leo Maguvani kijiweni.

Mghembe amesema kuwa,Rais wa awamu ya tatu wa Tanzania,hayati William Mkapa alianzisha Mpango wa Kurasimisha  Rasilimali na Biashara za wanyonge Tanzania,kwa lengo la kuhakikisha watanzania wote wanamiliki rasilimali zinazotambulika kisheria,zina nguvu ya kukuza mitaji na wanaofanya biashara wanafanya biashara zinazokuwa na kuongeza vipato vyao.

Amesema kuwa,MKURABITA kwa mwaka wa fedha 2021/2022 walikuwa na mpango wa kurasimisha viwanja 1000 katika mitaa miwili iliyopo katika Halmashauri ya Mji Makambako,Mtaa wa Kikula katika Kata ya Makambako na Mtaa wa Sekondari,Kata ya Maguvani lakini hadi sasa zoezi la urasimishaji kupitia MKURABITA limefanyika mtaa mmoja baada ya mwitikio mkubwa wa wananchi tofauti na matarajio yaliyokuwepo.

Ameongeza kuwa, hadi sasa jumla ya viwanja 1,191 sawa na asilimia 119 ya lengo vimepimwa katika Mtaa wa Sekondari ,851 walipewa Ankara ya kulipia hatimiliki na 434 pekee wamefanya malipo na watakabidhiwa hati za viwanja.  

Ametoa wito kwa wananchi ambao wamepimiwa ardhi wajitokeze kuchukua Ankara na kufanya malipo,kwa ajili ya ukamilishaji wa zoezi la urasimishaji wa ardhi zao kwa  kuandaa hatimiliki za viwanja.

Matangazo

  • Ujio wa Mwenge wa Uhuru 2025, bado siku 13 April 19, 2025
  • Ujio wa Mwenge wa Uhuru 2025, bado siku 12. April 20, 2025
  • Ujio wa Mwenge wa Uhuru 2025, bado siku 11. April 21, 2025
  • Ujio wa Mwenge wa Uhuru 2025, bado siku 10. April 22, 2025
  • Fungua

Habari Mpya

  • Mil. 350.8 za Mikopo ya 10% zimetolewa kwa vikundi 30 Halmashauri ya Mji Makambako,DC aagiza mikopo hiyo kuwa chanzo cha utajiri.

    August 14, 2025
  • MIL 350.8 ZA MIKOPO YA 10% ZATOLEWA KWA AWAMU YA PILI KWA MWAKA 2024/2025.

    August 01, 2025
  • Wataalamu na viongozi watakiwa kusimamia upatikanaji na utoaji wa huduma za chanjo.

    April 25, 2025
  • Makambako yang'ara katika tuzo za Afya ya Usafi wa Mazingira ngazi ya Halmashauri za Miji.

    April 09, 2025
  • Fungua

Video

Shule mpya ya Mbugani Kitandililo sekondari kupitia mradi wa SEQUIP
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Fursa za Usafirishaji
  • Orodha ya Madiwani
  • Uzalishaji wa Umeme wa Upepo
  • Organisation Structure
  • Fursa za Biashara
  • By Laws
  • Permanent Committee

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Ikulu ya Rais
  • Tovuti ya Ofisi ya Utumishi
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Open Data Tanzania

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Makambako Town Council

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako

    Simu ya mezani: 026-2730044

    Simu ya Kiganjani: 0785635383

    Barua pepe: td@makambakotc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa