Mwonekano wa wodi la wagonjwa katika kituo cha afya Lyamkena katika Halmashauri ya Mji wa Makambako ambapo wodi hilo limegawanyika sehemu mbili,upande wa kulia ni wodi litakalotumika na wanaume na upande wa kushoto ni wodi la wanawake ,Kamati ya Siasa wilaya ya Njombe ikiongozwa na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi(CCM) Wilaya ya Njombe Edward Mgaya ,,Mkuu wa Wilaya ya Njombe Bi Ruth Msafiri pamoja na wajumbe mbalimbali wa kamati ya Siasa wilaya ya Njombe wamependekeza ukamilishwaji wa jengo hilo uwe ni wa haraka na kwa ufanisi Mkubwa kwaajili ya kuanza kutoa huduma kwa Wananchi . .
Makambako Town Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako
Simu ya mezani: 026-2730044
Simu ya Kiganjani: 0785635383
Barua pepe: td@makambakotc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa