Wanafunzi wa kidato cha Tano na sita shule ya sekondari makambako ,wakiwa katika ziara kutembelea Hospitali ya Halmshauri ya Mji wa Makambako yenye hadhi ya kiwilaya iliyopo Mlowa, lengo kubwa ni kuwapa hamasa na kuwatia mayo kuwa hapo walipo wanayosafari ya kufika mbali zaidi kitaaluma na wanategemewa kuwa watumishi wa baadae kwa ngazi mbalimbali katika ofisi za ummaa na pia kuwa viongozi bora kwa ngazi ya familia mpak Taifa. Katika msafara huo Afisa elimu sekondari Halmashauri ya Mji wa makambako Mwalimu Agness ndiye aliyeongoza msafara huo pamoja na wafanyakazi wa idara mbalimbali wa Halmashauri wakimemo Maafisa utamduni ,watu wa usalama Barabarani , walimu pamoja na Mganga Mkuu wa Halmashauri ya mji wa Makambako DK Alexandra Mchome .
Makambako Town Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako
Simu ya mezani: 026-2730044
Simu ya Kiganjani: 0785635383
Barua pepe: td@makambakotc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa