Mkuu wa wilaya ya Njombe Bi Ruth Msafiri akikagua Miradi ya ujenzi wa vyumba vya Madarasa kwa Shule za Sekondari za Halmashauri ya Mji wa Makambako ambapo takribani Shule saba(7) za Halmashauri ya Mji wa Makambako ambazo ni Makambako sekondari ,Maguvani sekondari,Kipagamo sekondari ,Mukilima sekondari ,Deo Sanga sekondari ,Mahongole sekondari na Lyamkena sekondari shule hizi zote zina ujenzi wa vyumba vya Madarasa ambavyo vipo katika hatua ya umaliziaji kwaajili ya kuaanza rasmi kwa Matumizi ,Mkuu wa wilaya ya Njombe ameagiza ifikapo Januar nane (8), 2021 wote wanatakiwa kuwa wamekamilisha zoezi hilo ili kuepusha Msongamano wa Wanafunzi katika vyumba vya Madarasa na kuwasaidia walimu kufanya kazi kwa weledi .
Makambako Town Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako
Simu ya mezani: 026-2730044
Simu ya Kiganjani: 0785635383
Barua pepe: td@makambakotc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa