Mradi wa ujenzi wa madarasa mawili ukiwa hatua ya kutandika jamvi baada ya msingi kukamilika tarehe 5/11/2021
Mradi wa ujenzi wa madarasa mawili ukiwa katika hatua ya kupandisha kuta tarehe 9/11/2021
Mradi wa ujenzi wa madarasa mawili ukiwa hatua ya lenta 15/11/2021
Mradi wa ujenzi wa madarasa mawili upandishaji kuta umekamilika 22/11/2021
Mradi wa ujenzi wa madarasa mawili ukiwa hatua ya upauaji 26/11/2021
Mradi wa ujenzi wa madarasa mawili hatua ya upauaji na upigaji lipu umekamilika 2-3/12/2021
Mradi wa ujenzi wa madarasa mawili umekamilika 20/12/2021
Makambako Town Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako
Simu ya mezani: 026-2730044
Simu ya Kiganjani: 0785635383
Barua pepe: td@makambakotc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa