Mradi ujenzi wa madarasa mawili ukiwa hatua ya kuchimba msingi tarehe 2/11/2021
Mradi wa madarasa mawili ukiwa hatua ya kupandisha kuta tarehe 9/11/2021
Mradi wa ujenzi wa madarasa mawili ukiwa hatua ya lenta tarehe 15/11/2021
Mradi wa ujenzi wa madarasa mawili,ujenzi wa kuta umekamilika tarehe 22/11/2021
Mradi wa ujenzi wa madarasa mawili ukiwa hatua ya uezekaji 26/11/2021 ujenzi unaendelea
Mradi wa ujenzi wa madarasa mawili umekamilika 20/12/2021
Makambako Town Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako
Simu ya mezani: 026-2730044
Simu ya Kiganjani: 0785635383
Barua pepe: td@makambakotc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa