Mradi wa ujenzi wa madarasa mawili ukiwa hatua ya kuchimba msingi 3/11/2021
Mradi wa ujenzi wa madarasa matatu ukiwa hatua ya ujenzi wa msingi 6/11/2021
Mradi wa ujenzi wa madarasa matatu ukiwa hatua ya kupandisha kuta 19/11/2021
Mradi wa ujenzi wa madarasa matatu ukiwa hatua ya madirisha 23/11/2021
Mradi wa ujenzi wa madarasa matatu ukiwa hatua ya lenta 27/11/2021
Mradi wa ujenzi wa madarasa matatu ukiwa hatua ya kuezeka 3/12/2021-5/12/2021
Mradi wa ujenzi wa madarasa matatu hatua ya kuezeka imekamilika na kazi ya skimming inaendelea 18/12/2021
Mradi wa ujenzi wa madarasa matatu hatua ya upakaji rangi umekamilika 26.12.2021
Mradi wa ujenzi wa madarasa matatu umekamilika tarehe 29.12.2021
Makambako Town Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako
Simu ya mezani: 026-2730044
Simu ya Kiganjani: 0785635383
Barua pepe: td@makambakotc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa