Miradi ya Maendeleo inayotekelezwa kwa fedha za Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya Uviko 19,Mradi wa Ujenzi wa Madarasa matatu shule ya sekondari shikizi Mlumbe kata ya Lyamkena,Gharama ya mradi ni Tshs.60,000,000/=
Mradi wa ujenzi wa madarasa matatu ukiwa hatua ya msingi 2/11/2021
Mradi wa ujenzi wa madarasa matatu ukiwa hatua ya kuezeka na kupiga lipu 15/12/2021
Mradi wa ujenzi wa madarasa matatu ukiwa hatua ya skimming 20/12/2021