Miradi ya Maendeleo inayotekelezwa kwa fedha za Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya Uviko 19,Mradi wa Ujenzi wa Madarasa mawili shule ya sekondari Mkilima kata ya Majengo,Gharama ya Mradi ni Tshs. 40,000,000/=
Mradi wa ujenzi wa madarasa mawili umekamilika 20/12/2021