Kamati ya fedha na uchumi pamoja na timu ya wataalamu wakikagua wodi la wanawake na wanaume (2 in 1) katika kituo cha Afya Makambako.
Wodi la wanawake na wanaume (2 in 1) katika kituo cha Afya Makambako jengo likiwa hatua ya ukamilishaji.
Moja ya jengo la hospitali ya Mji Mlowa
Makamu Mwenyekiti wa kamati ya fedha na Uchumi,Mhe. Salum Mlumbe pamoja na wajumbe katika ukaguzi wa ujenzi wa bweni la wanafunzi wenye mahitaji maalumu shule ya msingi Idofi.
Mradi ujenzi wa bweni la wanafunzi wenye mahitaji maalumu shule ya msingi Idofi.
Makambako Town Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako
Simu ya mezani: 026-2730044
Simu ya Kiganjani: 0785635383
Barua pepe: td@makambakotc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa