Tarehe iliyowekwa: September 29th, 2020
Tayari walengwa na wanufaika wa mfuko wa TASAF wameanza kupata huduma ,Pichani mwezeshaji na viongozi wa kata ya Kitisi akiwemo mwenye kiti wa mtaa wa huo katika zoezi la kuwahudumia wale...
Tarehe iliyowekwa: September 30th, 2020
Mwezeshaji wa wanufaika wa mfuko wa TASAF Masinde Masinde akitoa maelekezo kwa walengwa wa kata ya Kitisi juu ya utaratibu wa kufuata ili waweze kupata huduma bila usumbufu: Mfano k...
Tarehe iliyowekwa: September 29th, 2020
Katika picha ni walengwa na wanufaika na Mfuko wa TASAF Kata ya kitisi ,Halmashauri ya Mji wa Makambako wakisubir kupata huduma kwa wawezeshaji wa mfuko huo Lengo hasa ni kuwainua japo kwa kidogo wata...