Tarehe iliyowekwa: November 30th, 2022
Halmashauri ya Mji Makambako mshindi nafasi ya 3 katika kundi la Halmashauri kwenye uandaaji wa Hesabu za Mwisho Kati ya Halmashauri zote 184 Kwa Mwaka wa fedha 2020/2021.
Tuzo hizo zimetolewa leo ...
Tarehe iliyowekwa: November 30th, 2022
Na. Lina Sanga
Kamati ya Fedha na Uongozi ya Halmashauri ya Mji Makambako leo imefanya ziara katika Kituo cha afya Makambako,na kutembelea duka la dawa lililopo katika kituo hicho na kukagua nyarak...
Tarehe iliyowekwa: November 29th, 2022
Na. Lina Sanga
Halmashauri ya Mji Makambako imeshika nafasi ya kwanza awamu tatu mfululizo,katika kampeni za utoaji chanjo ya polio kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano katika Mkoa wa ...