Tarehe iliyowekwa: May 28th, 2018
Mkuu wa mkoa wa Njombe Chrisopher Olesendeka akisoma hotuba ya kuupokea Mwenge wa Uhuru katika kijiji cha Nyamande Halmashauri ya Mji wa Makambako tarehe 28/05/2018, kushoto ni Kiongozi wa mbio za mwe...
Tarehe iliyowekwa: March 13th, 2018
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi. Isack Kamwelwe wanne kutoka kushoto akitoa maelekezo juu ya ujenzi wa bwawa la maji katika eneo la Bwawani lililopo Halmashauri ya Mji wa Makambako katika ziara...
Tarehe iliyowekwa: February 20th, 2018
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Dkt. Laurean Ndumbaro akiwa katika kikao kazi na watumishi wa Halmashauri ya Mji wa Makambako.
Aidha Ndumbaro alitoa nafasi kwa Watumishi...