Tarehe iliyowekwa: June 22nd, 2021
Ni Picha ya pamoja katika zoezi la kupokea Mifuko ya Cement takribani Arobaini,iliyotolewa na Umoja wa Vikundi vinavyolea watoto wadogo katika Halmashauri ya Mji wa Makambako (UWAVIKUWAMA),
...
Tarehe iliyowekwa: June 11th, 2021
Pichani ni Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhandisi Marwa Lubilya katika kikao cha kujadili Utekelezaji,Mapendekezo na Hoja za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali yaani (CAG -Controler and aud...
Tarehe iliyowekwa: June 2nd, 2021
Pichani ni vikombe sita (6) ambavyo Shule za Msingi Halmashauri ya Mji wa Makambako zimepata Katika zoezi zima la Umoja wa Michezo na Taaluma Shule za Msingi Tanzania (UMITASHUMTA) kwa Ng...