Tarehe iliyowekwa: May 12th, 2023
Na. Lina Sanga
Jamii imetakiwa kutambua umuhimu wa wauguzi kutokana na majukumu waliyonayo, katika kuhakikisha afya za watu zinaimarika.
Wito huo umetolewa leo na Katibu Tawala Mkoa wa Njombe,Bi...
Tarehe iliyowekwa: May 1st, 2023
Na. Lina Sanga
Mkoa wa Njombe leo umekabidhi Mwenge wa Uhuru Mkoa wa Iringa,baada ya kukimbiza katika Halmashauri sita za Mkoa wa Njombe tangu aprili 25 hadi aprili 30,2023.
Mkoa wa Njombe mnamo...
Tarehe iliyowekwa: April 30th, 2023
Na. Lina Sanga
Mbio za Mwenge wa Uhuru 2023 ,zimeridhishwa na utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika Halmashauri ya Mji makambako,ikiwa ni pamoja na miradi inayotekelezwa na Serikali na watu bin...