Tarehe iliyowekwa: December 14th, 2024
Na. Lina Sanga
Mil. 583 zimetolewa na Serikali kwa ajili ya ujenzi wa shule Mpya ya Sekondari ya Kata ya Mjimwema, ili kupunguza msongamano wa wanafunzi katika shule ya Makambako sekondari.
Akit...
Tarehe iliyowekwa: December 8th, 2024
Na. Lina Sanga
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Makambako, Kenneth Haule jana amewatembelea wahanga wa mvua na upepo mkali Katika Mtaa wa Mludza,Mkolango,Itipingi na Mgewalala katika Kata ya Mlowa ...
Tarehe iliyowekwa: November 23rd, 2024
Na. Lina Sanga
Kenneth Haule,Msimamizi wa uchaguzi Halmashauri ya Mji Makambako ametoa rai kwa wasimamizi wa vituo vya uchaguzi kuwa mabalozi wa amani kuelekea siku ya uchaguzi,ili amani itawale ha...