Tarehe iliyowekwa: July 21st, 2022
Na. Lina Sanga
Vijana wametakiwa kushiriki shughuli za maendeleo katika Kata,Mitaa na Vijiji wanavyoishi,ili kuboresha huduma muhimu za kijamii kama ujenzi wa shule,zahanati na vituo vya afya kwa m...
Tarehe iliyowekwa: July 20th, 2022
Na. Lina Sanga
Jumla ya lita mil 4.9 za maji zinahitajika katika Halmashauri ya Mji Makambako ili tatizo la uhaba wa maji litoweke na wananchi wote kunufaika na huduma ya maji.
Taarifa hiyo imet...
Tarehe iliyowekwa: July 19th, 2022
Na. Lina Sanga
Ili kukabiliana na changamoto ya ukosefu wa ajira kwa vijana,Halmashauri ya Mji Makambako inatarajia kujenga chuo cha ufundi stadi(VETA),ili vijana waweze kujiendeleza na baadaye kuj...