Tarehe iliyowekwa: June 28th, 2022
Na.Lina Sanga
Sensa ni utaratibu wa kukusanya,kuzichambua na kuzichakata taarifa za watu katika maeneo husika kwa kutambua umri wao,viwango vyao vya elimu,shughuli zao za kiuchumi na kijamii ...
Tarehe iliyowekwa: June 27th, 2022
Na. Lina Sanga
Zaidi ya wananchi 180 wa kijiji cha Kifumbe na Usetule,Kata ya Mahongole katika Halmashauri ya Mji Makambako,wamepata chanjo ya Uviko 19 leo,katika Mkutano wa hadhara wa M...
Tarehe iliyowekwa: June 27th, 2022
Na. Lina Sanga
Mkuu wa wilaya ya Njombe,Mhe. Kissa Gwakisa Kasongwa amewapongeza Wananchi wa Kijiji cha Kifumbe katika Kata ya Mahongole,kwa Kuchangia jumla ya shilingi mil.36 zilizotumika katika u...